VESTA FT. AIRBOY - MBELE KWA MBELE Remix | DOWNLOAD MP3
Kutoka nchini Tanzania msanii VESTA anakukaribisha kuisikiliza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "MBELE KWA MBELE rmx" aliyomshirikisha msanii AIRBOY kutoka nchini Nigeria.
Original version ya Mbele kwa Mbele imefanywa katika studio za More Feelings production chini ya utayarishaji wake Melodiez, wakati remix imefanywa DomTown records na watayarishaji wa3 ambao ni Melodiez na BM kutoka nchini Tanzania pamoja na Phantom kutoka nchini Nigeria. Vesta yupo chini ya Akonshaz Music ambayo kwa sasa ndiyo inayosimamia utengenezaji na usambazaji wa ngoma zake.
Ngoma inaachiwa rasmi leo tarehe 06.10 katika vituo vyako pendwa vya radio na mtandaoni pia!! Unaweza kumpata Vesta kupitia instagram @aka_vesta na Airboy @Airboyrado. Take your time to listen / share this good music.
Leave a Comment