MONI CENTROZONE - BONGO SUPER STAR (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Anafahamika kwa jina la Moni Centrozone, msanii kutoka Tanzania anayefanya muziki aina ya Rap / Hiphop. Ikiwa ni miezi michache imepita tangu atekwe na 'watu wasiojulikana' msanii Moni anakukaribisha kuitazama video ya nyimbo yake mpya "Bongo super star" ambayo imeongozwa na Director Ivan, huku audio ikitayarishwa na producer Tonny Drizzy & Mr. T (Touches Sound). Enjoy!!
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.