"NIPO TAYARI KUFA KULIKO KUTETEA UOVU" ASEMA ASKOFU KAKOBE

Askofu Kakobe amefunguka na kusema kuwa "yupo tayari kufa" kuliko kutetea uovu. Maneo hayo Akofu Kakobe aliyatamka kanisani kwake katika misa ya jumapili. Unaweza kumsikiliza alichoongea hapo chini.  
Kuna Baadhi ya watu wanafikiri Askofu kakobe ameanza sasa kuikosoa serikali.... Nimekusogezea video hii upate kumsikiliza kwa makini. Maneno Haya aliyazungumza mwaka 2014 kipindi cha bunge la Katiba. Pale ulipozuka mjadala kuhusu serikali tatu na muundo wa Muungano wetu.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.