RIGHT MARKER FT. ANGETAINA - NA WEWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP4

Msanii Right Marker kutoka nyanda za juu kusini, hapa napazungumzia Dirty South Iringa anakukaribisha kutazama video ya nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la "Na wewe" ambayo audio imetengenezwa na 2Star Music wakati video imeongozwa na Director Pizzle kutoka Iringa Town. Take your time and watch out the video below mtu wangu wa nguvu.
Image result for animated download now gif

1 comment:

Powered by Blogger.