ZITTO: NAWASILIANA NA WAPINZANI WENZANGU TUUNGANE


Baada ya Mbunge 'Sugu' kuhukumiwa jela miezi 5 saa chache zilizopita, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechapisha ujumbe huu..
---
Wabunge wa Upinzani tusimame kuhesabiwa sasa 

Nimeona mashtaka ya Sugu yaliyopelekea kuhukumiwa kwenda jela miezi 5. Wabunge wote wa vyama vya Upinzani kwa namna moja ama nyengine tunasema haya kila wakati kwenye mikutano yetu. Kuna haja ya kufanya jambo ambalo dola itaamua kutusweka jela wote au kutorudia walichofanya kwa Sugu. Ninawasiliana na wenzangu tupate UNITED DEMOCRATIC FRONT
---

Kwa maoni yako, huu ni mjongeo sahihi?!

Chanzo: JamiiForums

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.