KUONGEZEKA KWA USHOGA NA USAGAJI TANZANIA, NINI TATIZO?
Nimekua nikijiuliza why miaka/siku za hivi karibuni kuna wimbi kubwa la vijana wa kike na kiume kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(Ushoga na Usagaji). Nimefanya tafiti ndogo kupitia baadhi ya mitandao hasa FB na groups za whatsapp, hali ni mbaya.
Vijana wa kiume hasa age kuanzia 16-25 hivi wengi mashoga ,tena wengi wamejaa Dar es salaam.Wasichana nao wengi wamegeukia kwenye usagaji,kuna X wangu ana umri wa miaka 21 nlipewa taarifa na ndugu yake wa karibu kabisa kajiingiza kwenye usagaji. Groups nyingi za whatsapp na fb na page zingine za instagram zimejaa mashoga,wasagaji na zinahamasisha hizo tabia. Vijana wa kiume nowdays wanaitana 'MY' 'BABY' hatari tupu.
Nini chanzo cha ongezeko la hii tabia kwa vijana hapa TZ kwetu??
Leave a Comment