PROFESSOR JAY ft. MR T TOUCH - PAGAMISA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Mbunge wa Mikumi ambaye pia ni msanii mkongwe wa muziki wa Hiphop nchini Tanzania, Professor Jay anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya "Pagamisa" ambao amemshirikisha prodyuza Mr T Touch kutoka Touch sound.
AUDIO | PROFESSOR JAY ft. MR T TOUCH - PAGAMISA | DOWNLOAD MP3
Leave a Comment