FAHAMU MILA ZA AJABU ZA KABILA LA KAYAN


Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma, wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni, wakiwa bado wadogo sana.

Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba wakizivua kichwa huangukia begani na kuwasababishia kifo. Mpaka sasa hakuna mtu amaejua utamaduni huu ulianza lini na kwasanabu gani. Wanaume wa Kikayan wao hawaoi mwanamke asiye na bangili shingoni..!

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.