ALI KIBA AKIMUIMBIA MKE WAKE 'LIVE' KWENYE SHEREHE YA HARUSI YAO

Msanii Ali Kiba kutoka Tanzania hivi majuzi amefunga ndoa na mpenzi wake Amina huko Mombasa nchini Kenya. harusi ilifana sana na tarehe 29 mwezi wa 04 siku ambayo mdogo wake na Ali Kiba atafunga ndoa nchini Tanzania ndiyo siku ambayo Ali Kiba atafanya sherehe ya harusi yake nchini Tanzania. Hebu muangalie Ali Kiba akimuimbia mke wake Amina katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika Mombasa nchini Kenya..!
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.