MAZISHI YA AGNES MASOGANGE KUFURU, KABURI LAKE LIMEJENGWA KWA MARUMARU


MAMIA ya wananchi wakazi wa Utengule, Mbalizi na maeneo ya karibu wamejitokeza kuungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki na wasanii kuupokea mwili wa msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ ambao umewasili kijijini kwao kwa ajili ya mazishi.


Mwili wa marehemu umewasili kijijini hapo na kuzikwa mapema leo baada ya jana kuagwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. Masogange alifariki dunia Ijumaa iliyopita katika kituo cha Huduma za Afya cha Mama Ngoma kilichopo Mwenge jijini Dar ambapo jana aliagwa katika Viwanja vya Leaders na kusafirishwa kwenda kwao kuzikwa.

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.