FUTURE: MOST POPULOUS COUNTRIES IN 2050

China,India na U.S ndiyo nchi tatu zenye watu wengi zaidi duniani mpaka mwaka 2018. Takwimu zinaonyesha kuwa ifikapo mwaka 2050 nchi ambayo itakuwa na watu wengi zaidi ni India ikifuatiwa na China na kisha Nigeria. Unaweza kutazama listi kamili hapo kwa danta mtu wangu, ni idadi ya watu kwenye nchi 20 duniani mwaka 2050.
Tanzania imeshika namba 14 ikifuatiwa na Urusi iliyoshika namba 15.
Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.