KAMA WEWE NI MWANAFUNZI WA UDOM, HII INAKUHUSU

Kwa miaka nenda rudi upatikanaji wa habari kwa haraka umekuwa na changamoto nyingi ikiwemo habari kuchelewa kufika kwa wakati. Kwa kulitambua hilo, Akonshaz Apps wameamua kutengeneza mobile app kwa wanachuo wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kuwawezesha kupata taarifa muhimu kwa wakati unaotakiwa. Vitu kama course work, test marks na exam results ni vyema kuvitazama mara kwa mara kwani itakusaidia mwanafunzi kumaliza elimu yako ya chuo kwa wakati, sio unasoma course ya miaka mi3 kwa miaka 7 kisa tuu ni uzembe wa kutofuatilia progressive report yako.
Hivyo basi, unaweza kupakua mobile app ya UDOM kwenye play store bure kabisa. Ingia Google play store na kisha andika 'ALISUDOM' ikitokea mobile app yenye icon kama hii (hapo chini) unaweza kuipakua na kasha install kwenye simu yako uweze kupata taarifa zote muhimu kwa wakati, na pia unaweza kupakua “UDOM” mobile app kwa kubofya HAPA
Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.