NANI MKALI, DIAMOND VS ALIKIBA? PIGA KURA SASA

Mojawapo ya wasanii wakongwe kabisa katika muziki wa Bongo flava ambaye kwa sasa ni mbunge wa Mikumi, Professor Jay amewahi kusema, “upinzani wa jadi bongo haupo Simba na Yanga, Matonya na Makamba na city na wamachinga…” kwenye nyimbo ya Bongo Dar es salaam. Baada Matonya kufariki dunia na city (jiji) kugawa maeneo kwa wamachinga, upinzani wa jadi umebakia Simba na Yanga na pia kuna upinzani mpya mjini ambao unaelekea kuwa wa jadi kati ya wasanii AliKiba na Diamond Platnumz.
Leo hii tunamaliza mzizi wa fitna kwa kufahamu nani mkali. Unaweza kumpigia kura msanii wako pendwa kwa kubofya HAPA au kwa ku comment chini ya post hii. Pia uki’share post hii utamsaidia msanii wako kupata kura mbili zaidi. 

Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.