PAYONEER NI MBADALA WA PAYPAL TANZANIA
Binafsi ni mtu ambaye niliathiriwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure. Bofya 'Join now' kujiunga au unaweza kubofya HAPA | CLICK HERE To Join
PATA TAARIFA ZOTE MUHIMU PINDI ZITUFIKIAPO UKIWA NA MOBILE APP YA BLACKMUTU INAYOPATIKANA KWENYE PLAY STORE
#LeeggooLoversFriendsAndFans #FreeDownload #BlackMutu #MobileApp
Leave a Comment