VITU 10 VYA AJABU ZAIDI KUWAHI KUUZWA MTANDAONI


Hawa wazungu sometimes sio wazima kabisa, hivi mtu kwa akili yake anauza hewa ambayo ameipata kwenye show ya Kanye West, huh?!! Unaweza kununua hewa kweli kwenye mfuko?? Tena $60,100 ambayo ni sawa na milioni 136,021,325 kwa hela ya kibongo. Like seriously?!! No way, hell NO!

PATA TAARIFA ZOTE MUHIMU PINDI ZITUFIKIAPO UKIWA NA MOBILE APP YA BLACKMUTU INAYOPATIKANA GOOGLE PLAY STORE
#LeeggooLoversFriendsAndFans #FreeDownload #BlackMutu #MobileApp
Leave a Comment