BAADA YA WALTER CHILAMBO, MSANII AINEA AOKOKA NA KUACHA MUZIKI

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, msanii Ainea aliyetamba na nyimbo ya 'Sina Mpango Nae" akiwa kamshirikisha Mr Blue, ameandika yafuatayo..
"Napata maswali mengi inbox yangu ya facebook Whtsaap nashindwa kuwajibu wote Coz ni mengi, 


Je umeokoka???
Umeacha Bongo flavour????
Jibu nikwamba ndio NIMEOKOKA NA NAMTUMIKIA MUNGU PEKEE YAKE 
BONGO FLAVOUR NIMEACHA, NIMESHAJIKANA NIMEMFUATA YESU
MIMI SIO YULE TENA AINEA WA SINA MPANGO NAE
Ujumbe..
KIJANA MKUMBUKE MUNGU 
SIKU ZA UJANA WAKO KABLA HAZIJAJA SIKU ZILIZO MBAYA"

Mojawapo ya nyimbo zilizompa umaarufu Ainea ni pamoja na hiyo hapo juu inayokwenda kwa jina la "Sina Mpango Nae" aliyomshirikisha Mr Blue.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.