Story ambayo inatrend leo kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusiana na video ikimuonyesha staa kutokea kweye muziki wa Bongo Fleva Aslay ambaye anaonekana akiperform akiwa jijini London huku ukumbi huo ukiwa na watu wachache wasiozidi mia. Hebu itazame hapo chini.
Leave a Comment