MSANII NANDY KUJA NA ALBUM, ITAKUWA NA NYIMBO 8

The African Princess “Nandy” ametangaza ujio wa albam yake mpya na ya kwanza tangu kuanza kwake muziki ambayo itakuwa na jumla ya nyimbo nane.

Katika albam hiyo ambayo hakuweka wazi jila lake na tarehe ya kuiachia, amesema hajamshirikisha mtu yeyote kwenye kazi zote nane zaidi ametumia mkwanja mrefu sana kwenye kuwalipa waandishi wa nyimbo zake ili kupata kitu bora. Good news ni kwamba Nandy (@officialnandy) atakuwa ni miongoni mwa wasanii Afrika Mashariki watakaotumbuiza kwenye tamasha la ONE AFRICA MUSIC FEST huko Dubai mwezi Novemba mwaka huu lakini pia ameachia kazi yake mpya inaitwa AIBU

Na @ergonelly Dream FM Mbeya @Dozenselection

No comments

Powered by Blogger.