UNAPOHISI UNAANDAMWA NA MIKOSI JARIBU KUFIKIRIA HAYA


Kuna muda mtu anaandamwa na matatzo mwanzo mwsho

Kazi hupati
Hela zinakukimbia
Wanawake au wanaume hawadumu nawe kwenye mahusiano
Yani ni gundu juu ya gundu

- Cha kwanza kaa chini na fikiria kama kuna mtu ulomfanyia baya lolote.

- Ulimdanganya kaka wa watu wew n bkira na bado anajilaumu kkuamini??

- Ulimuacha dada wa watu bila kufikiria atapitia hali ngum kias gan baada ya break up.

- Una watoto au mimba uloikana maybe hko inalalamika kwann ulikana.

- Umekimbia deni la mtu na ulisababsha kuanguka kiuchumi kwa mtu.

Malipo n hapa hapa dunian...kaa chini tafta ulowakosea....tengeneza mawasiliano mazuri nao.... sometimes solution ya matatzo yetu haypo kanisan wala msikitn bali ni miongoni mwetu.

The Best Man apologies for the past... But the Great Man Corrects the past.



Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.