MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI

Mfanya biashara maarufu kwa jina la Mo Dewji, amepatikana. Taarifa hizo zimetolewa kupitia account ya Kampuni yake ya MeTL Group kupitia mtandao wa Twitter.


Habari hizo zimethibitishwa pia na Waziri January Makamba ambaye pia kupitia mtandao wa Twitter kasema ‘Nimemuona na kuongea kwa kirefu na Mohammed Dewji. Ni mzima wa afya isipokuwa ana alama za kufungwa kamba mikononi na miguuni. Mnamo saa nane usiku, watekaji waliamua kumtupa kwenye maeneo ya viwanja vya Gymkana.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.