PANCHO LATINO WA BHITZ AFARIKI DUNIA

Producer Pancho Latino maarufu kama 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam. Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika studio za B’ Hitz Record. 
Mwili wa mtayarishaji wa muziki Pancho Latino umehifadhiwa katika Hospitali ya Lugalo, Dar es Salaam kwa uchunguzi wa kifo chake. Baadhi ya wasanii, waandaaji wa muziki na hata watangazaji wa radio walionyesha kuguswa na msiba huo mkubwa kwa tasnia ya sanaa nchini Tanzania.

Kul nafs dhaaika tul maut. Nyuma yako mbele yetu. 

Rest In Paradise soldier.

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.