UKIHITAJI KUWEKA NYIMBO ZAKO iTUNES, SPOTIFY, AMAZON, APPLE MUSIC NA DEEZER, AKONSHAZ MUSIC TUPO KWA AJILI YAKO

Kama ulikuwa haujui, muziki ndiyo kitu cha kwanza kwenda Digital. Wasanii wengi duniani wanatumia digital platforms kusambaza kazi zao kwa mashabiki wao duniani kote ingawa kwa Africa sio nchi zote wasanii wanaweza kuweka nyimbo zao kwenye platforms kama iTunes, Spotify, Amazon au Apple Music hivyo kwa kulitambua hilo Akonshaz Music itakusaidia wewe msanii kuweka nyimbo zako kwenye digital platforms zooote. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255784 180 604 au tuma email kwenda akonshazmusic@gmail.com

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.