"TITO MBOWENI" YA CASSPER NYOVEST YAFANYIWA REMIX NA AKONSHAZ MUSIC

Akonshaz Music kutoka nchini Tanzania wameifanyia remix nyimbo ya Cassper Nyovest wa Afrika ya kusini. Nyimbo hiyo ambayo wao Akonshaz wameipa jina la "Mimi Ni Nyani" ni nyimbo ambayo wao wamelenga kupinga 'ubaguzi wa rangi' kwa hiyo kitendo cha kujiita NYANI ni vile wanajiamini kama asili yao ni Afrika na pia kama wao ni NYANI basi hata wewe ni NYANI. 

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.