SIKILIZA WIMBO WA "SICHEKI NAO" AMBAO OMG WAMEKOPI KWENYE "SOLO"

Msanii The Green kutoka Akonshaz Music amewalalamikia wasanii wanounda kundi la OMG kwa kukopi wimbo wake unaokwenda kwa jina la "Sicheki Nao" na kufanya kama chorus kwenye wimbo wao mpya "Solo". Akiongea na BlackMutu Tv msanii The Green amedai kuwa wimbo wake umetayarishwa na producer Wi2 Touchez wa DomTown Records na umeachiwa rasmi mwezi wa nane (8) na kuwekwa YouTube tarehe 23 mwezi huo huo wa 8. Wimbo wa 'Solo' kutoka kwaOMG Tanzania umeachiwa tarehe 07 mwezi wa 12.

Bado tunaendelea kuwatafuta OMG Tanzania kutupa ukweli wa ishu hii ya kukopi wimbo wa mtu na kufanya wa kwao na pia tukurudi tutakufahamisha sheria inasemaje kuhusu mtu kuiba / kukopi kazi ya sanaa ya mtu mwingine bila kibali chake. Sikiliza wimbo wa OMG Tanzania hapo chini.

AUDIO | THE GREEN - SICHEKI NAO | DOWNLOAD MP3
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.