NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2018 NA DARASA LA NNE (SFNA) 2018

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne 2018/2019 (SFNA) na kidato cha pili 2018/2019 (FTNA) iliyofanyika mwaka jana 2018, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo. Unaweza kutazama matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili kwa kubofya link hapo chini.

No comments

Powered by Blogger.