Msanii Godzilla almaarufu kama Zilla au Zizi amefariki dunia nyumbani kwao Salasala usiku wa jana saa sita, chanzo cha kifo bado hakijawekwa wazi lakini ndugu wake wa karibu amedai kuwa Zilla alikuwa anasumbuliwa na tumbo jana (jumanne) mpaka umauti ulipomfikia usiku.
Miongoni mwa nyimbo zilizompa umaarufu Godzilla ni pamoja na #Salasala na nyinginezo nyingi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
A PICTURE OF K. MBAPPE WITH HIS FATHER U. MBAPPE
-
Mr Mbappe says: Once I took my son to Cameroon. I wanted my son to play in
the national team for Cameroon. But the Cameroon Football Federation asks
me fo...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Leave a Comment