MFAHAMU MFALME ZUMARIDI ANAYEJIITA "MUNGU"

Kutoka maneo ya Nyegezi jijini Mwanza, kuna mwanamama ambaye ni mchungaji anayefahamika kwa jina la Mfalme Zumaridi au "mungu Zumaridi'.
Mwanamama huyo alishawahi kusema kuwa ana mawasiliano na Kanumba tangu alipofariki. Pia alienda mbali zaidi na kudai marehemu Kanumba amechukuliwa msukule na amewekwa ndani ya nyumba ya (jina kapuni) jijini Mwanza. Unaweza kumsikiliza mwenyewe hapo chini kisha tuambie kama ni miongoni mwa manabii wa uongo au wa ukweli.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.