SOULJA BOY AZUIA WIMBO WAKE WA "GUCCI BANDANA" KUPIGWA

Hata hivyo, Gucci waliomba radhi kwa wajeta wao na kuiondoa bidhaa ya blauzi (balaclava top) ambalo lilihusishwa na ubaguzi wa rangi. Blauzi hio ilikuwa ikiuzwa kwa takribani US dollars 890 ambayo ni zaidi ya milioni mbili kwa pesa za kitanzania. Swali ni; Je, naweza kununua nguo ya zaidi milioni moja?!


Leave a Comment