VIDEO ZA NGONO ZILIVYOKATISHA MAISHA YA BINTI

Pengine haikuchukua muda mrefu kwa Tiziana Cantone kuanza mfululizo wa matukio ambayo yalisababisha kujikatisha uhai. Mwezi Aprili mwaka 2015, mwanadada kutoka Mugnano, nje kidogo mwa Naples,alituma picha za video za ngono kupitia WhatsApp. waliopokea video hizo miongoni mwao ni rafiki yake wa kiume Sergio Di Palo, ambaye mahusiano yake naye hayakuwa mazuri.
Video hizo zilimuonesha Tiziana akifanya vitendo vya ngono na wanaume kadhaa ambao hawakufahamika. ''Alikuwa mrembo lakini mwenye kuvunika oyo upesi,''alikumbuka Teresa Petrosino ambaye walikua marafiki kwa miaka 15.''Alikuwa na watu wasiofaa kwa wakati usiofaa.''
Video hizo zilisambazwa kwenye tovuti mbalimbali zinazoonyesha masuala ya ngono.Vitendo vyenyewe kwenye video hizo havikua kitu isipokua sentensi moja tu kutoka mdomoni mwa Tiziana Conte. ''Unarekodi video?'' alimuuliza mwanaume aliyekuwa ameshika Kamera. ''Safiiiii''.
Chanzo: BBC Swahili | Soma Zaidi...
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.