Baada ya Diamond Platnumz kufanya interview na kuanika hadharani kuwa Zari alikuwa akimcheat na Peter wa PSquare yameibuka maneno mengi mtandaoni hali iliyofikia mwanadada Mange Kimambi ambaye yupo nchini Marekani kwa sasa 'kumchamba' Zari The Bosslady na kusema anaishi maisha ya kuigiza na Diamond akifikiria kuuza nyumba ya South basi bidada Zari atapata tabu sana.
Kutoka nchini Kenya mwanadada mwenye vituko vya kila rangi, anayefahamika kwa jina la Akothee amejitokeza hadharani na kumkingia kifua Zari kwa kumpa Mange makavu live. Hebu msikilize Akothee hapo juu.
After success of the previous song " Vumbi ", Rayvanny releases another hit single titled " Girlfriend ". Take you...
Facebook
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Geita
-
Geita TAMISEMI Form five Selection | Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
kidato cha Tano Geita. The TAMISEMI Form Five Selection is a crucial
milestone in...
Leave a Comment