SIKILIZA WIMBO MPYA WA SEAN KINGSTON ALIOWASHIRIKISHA DAVIDO NA TORY LANEZ

Baada ya kimya kirefu, msanii Sean Kingston kutoka nchini Jamaica anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya "Peace of Mind" ambao kamshirikisha msanii Davido kutoka nchini Nigeria na Tory Lanez kutoka nchini Canada. Unaweza kuupakua hapo chini mtu wangu.

No comments

Powered by Blogger.