Huenda ukahisi wiki yako imekuwa mbaya kwa sababu hizi ama zile. Kama unahisi hivyo fahamu kuwa unakosea sana kwani wiki yako haiwezi kuwa mbaya kuliko ya msanii TID al-maarufu kama 'Mnyama', 'Mzee Kingunge' na majina mengine mengi ambayo amepewa na kujipa mwenyewe. Hebu fanya kusikiliza kisa cha TID kupigwa kutoka kwa mtu ambaye inadaiwa ndiye aliyempiga.
Leave a Comment