MANENO 20 YA KIMAHABA YA KUMWAMBIA MWANAMKE

1. Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako.


2. Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hiyo naweza kustahili kwenye penzi letu.

3. Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua.

4. Napatwa na woga ndani ya tumbo langu, natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu.

5. Umefanya ndoto zangu ziwe za kweli.

6. Sijawahi kukutana mtu mzuri na mwenye kujali kama wewe.

7. Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu.

8. Wewe ni msichana mzuri ambae kamwe sikuwahi kukutana nae.

9. Unafanya huzuni zangu kupotea kwa tabasamu lako zuri.

10. Hapana, wewe sio mnene, uko poa na ndivyo nipendavyo.
11. Ungeweza kupata mwanaume yeyote ulimwenguni na bado umenichagua mimi, mimi ni nani mpaka unipende hivi?!

12. Unanipa maana ya maisha yangu.

13. Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.

14. Unakuaje mzuri muda wote?

15. Unanifanya nijione mwenye bahati ninapokuwa na wewe.

16. Magoti yangu huishiwa nguvu kila nikugusapo.

17. Wewe ni rafiki yangu wa kweli, najifunza kwako, na ni mtu ambae najua nitakuwa nawe, ni mpenzi wa maisha yangu, ni wewe tu nilienae. Ni kila kitu kwangu.

18. Siwezi kuamini kama mtu mwema kama wewe usingeweza kuwa na mimi.

19. Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.

20. Natamani niwe na wewe maisha yote, lakini muda hautoshi wa kukupenda vya kutosheleza.

No comments

Powered by Blogger.