Zimefanyika remix nyingi za wimbo wa Chibonge uliofanywa na Marioo akishirikiana na Abbah pamoja na G Nako. Leo hii BlackMutu anakuletea remix ya wimbo wa Chibonge ambayo imefanya vizuri zaidi kuliko zote. Remix / cover ya Chibonge inafahamika kwa jina la 'Chembamba' na imefanywa na Creyz Beez kutoka DomTown Records. Enjoy!!
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Geita
-
Geita TAMISEMI Form five Selection | Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
kidato cha Tano Geita. The TAMISEMI Form Five Selection is a crucial
milestone in...
Leave a Comment