#CORONAVIRUS: MWANA FA NA MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ WAPATA MAAMBUKIZI

- Mwanamuziki Hamis Mwinjuma maarufu ‘MwanaFA’ ametangaza kuwa na maambukizi ya virusi hivyo leo

- Awali, Meneja wa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Sallam S.K na yeye alitangaza kupata maambukizi ya virusi hivyo.

- Mapema, Serikali ilitangaza kuwa idadi ya Wagonjwa imefikia 6 baada ya Wanaume wawili kuthibitika leo Jijini Dar.

No comments

Powered by Blogger.