MATATA AMSHIRIKISHA MARIOO KWENYE WIMBO WAKE MPYA "NYONGI"

 
Baada ya kufanya vizuri kwa wimbo wake uliopita ambao alishirikiana na Bien, msanii Matata amekuja mpaka Tanzania na kumtafuta ToTo Bad Marioo kwenye wimbo wake mpya unaoitwa Nyongi. Unataka kujua nini maana ya Nyongi, tazama video hapa chini mtu wangu.

No comments

Powered by Blogger.